Saturday, November 15, 2008

wajanja wachapisha nakala milioni 1.2 za gazet fake la ‘New York Times’ na kuligawa bure mitaani likiwa na habari ya uongo





watu wanaodaiwa ni kundi la 'Yes Men' wamechapisha nakala milioni 1.2 za gazeti la New York Time na kuligawa katika mitaa ya New York na Los Angeles wakitangaza kwamba vita vya Iraq vimekwisha na majeshi yote yanarejeshwa na kwamba Waziri Mambo ya Nje wa Marekani Condoleezza Rice pia ametangaza utawala Rais George W Bush ulijua tangu mwanzo kwamba aliyekuwa kiongozi wa Iraq Saddam Hussein hakuwa na silaha za maangamizi. kwa habari zaidi bonyeza hapa:

http://shija.blog.co.in/

No comments: