Wednesday, February 4, 2009

Wana Habari Umoja wa Mataifa



Balozi Mahiga alonga na wenzake wa ofisi ya UN New York
Balozi wa Tanzania katika ofisi ya kudumu katika Umoja wa Mataifa jijini New York, Dk Augustine Mahiga, akiongea na wafanyakazi wenzake wa ofisi ya UN na waandishi wa habari kutoka Tanzania walioko huko katika mafunzo na kuhudhuria mikutano ya UN Security Council na General Assembly. Waandishi walioko huko ni, Tuma Abdallah na Athumani Hamisi (Daily News-HabariLEO) Agnes Tuniga, Ben Mwang'onda na Margareth Chambiri (TVT) Yvonne Msemembo (ITV) Noor Shija (Uhuru) John Bwire (Habari Corporation) Yahya Charahan

No comments: